Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja
wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora
(APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia leo
Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis
Ababa.

Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbwe wake akitoka nje ya ukumbi baada ya
kuhutubua mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa
Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha
ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia leo Januari 27, 2013 katika makao
makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete (wa nane toka kulia, akiwa na viongozi wenzake
katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Wakuu
wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa leo Januari 27, 2013
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment