Thursday, November 29, 2012

19 WAFARIKI DUNIA KWA KUNYWA DAWA YA KIKOHOZI YENYE SUMU PAKISTAN

Dawa ya Kikohozi(Cough Syrup)
Takribani watu 19 wamefariki dunia mara baada ya kunywa dawa ya kifua yenye sumu Mashariki mwa Pakistani katika mji wa Lahore.
Vifo hivyo vimeibua hisia za kukosekana umakini kwa mamlaka zinazosimamia usalama wa dawa na chakula pia viwanda vinavyotengeneza dawa hizo.
Ripoti ya Imran wa Al Jazeera's Lahore Pakistan.

No comments:

Post a Comment