Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akizungumza jambo katika mkutano kati yake
na viongozi wa vyama vya siasa na Asasi za kiraia. Ajenda muhimu katika mkutano huu ni mgogoro wa gesi Mtwara mkutano umefanyika kwenye ukumbi wa
VETA mjini Mtwara Januari 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WALIKUWA WAPI SIKU ZOTE WMWONA MAMBO YAMEJARIBIKA NDIO WANAKUJA GESI HAITOKI
ReplyDelete