Monday, January 28, 2013

TEKNOLOJIA: AJALI KUBWA ANGA ZA JUU NI ILE YA MWAKA 1986,HATA HIVYO TEKNOLOJIA IMEKUA NA SASA ABIRIA KWENDA MWEZINI


Picha hii kubwa ya Chombo cha kusafirisha Satelaiti kikiwa anga za juu kinaitwa 'Challenger' Picha hii ilipigwa na Satelaiti . Picha hii ya Challenger's STS-7 ilipigwa wakati ilipozindua safari yake  June 18, 1983.
CREDIT: NASAChombo hiki cha anga za juu kilisababisha ajali ya Wanasayansi wa Anga za juu saba 7 ambao waliunguzwa na moto kufuatia kulipuka sekunde 73 tu! baada ya kuruhusiwa. Muundaji wa Roketi hiyo Rockwell alianza kuijenga mwaka 1975 na kisha kuipeleka NASA kwa ajili ya majaribio mwaka 1978.Hata hivyo Idara ya anga za juu NASA ilisema teknolojia ya Kompyuta wakati huo ilikuwa duni sana kuweza kukokotoa msongo wa mawazo wa roketi hiyo kuweza kuhimili kani zenye usumbufu kwa chombo hicho.Vyombo vya anga huchunguzwa kwa kina kwa kutumia Kompyuta maalum zinazotambua uwezo wa chombo kuhimili misukosuko wakati ikisafiri na ikiwa anga za juu. CREDIT: NASA.
ANGALIA HAPA PATA MAELEZO YA PICHA ZAIDI ZA VYOMBO VYA ANGA ZA JUU...
Taswira ya shuttle Challenger's maiden STS-6 'ikinyanyua nyayo'  Aprili 4, 1983.Hii ni hatua ya kwanza ya roketi kuondoka ambapo huchoma oil chambers kwa ajili ya great move baadae kiwango cha moshi hupungua ikifika kiasi cha kilomita 10000 juu.CREDIT: NASA 
KWA TAARIFA YAKO: Neil Armstrong Ndie mtu wa kwanza kufika mwezini
Challenger's STS-51L Crew in the White Room Jan. 28, 1986, NASA ilipata ajali ya kwanza katika historia yake ya safari za anga za juu na kuwapoteza wana-anga 'Maastronati' saba pia chombo Challenger orbiter kililipuka .PICHANI ni Wanaanga wa chombo STS-51L wakiwa katika White Room mapema baada ya kufanya mazoezi ya kuvaa 'dressing rehearsal';Mazoezi ya kuvaa ni kawaida kwa wanaanga kujiandaa na pia hufanya mazoezi ya kuwa anga za juu kwa kutembea katika vyumba maalum ambavyo vina mandhari ya anga za juu.CREDIT: NASA
Shuttle Atlantis over the BahamasChombo cha anga za juu  Atlantis kinaonekana juu ya anga la Bahamas, picha hii ilichukuliwa July 10, 2011 CREDIT: NASA

Apollo 1 Crew Apollo 1 Crew On Jan. 27, 1967, NASA ilipata ajali kwa kuwapoteza wanaanga wake watatu (PICHANI) hii ilikuwa ajali ya kwanza kwa NASA ukiachilia mbali ajali kubwa ya 1986 Wanaanga hawa walikufa baada ya chombo walichokuwa wakifanyia mazoezi ya anga za juu kuungua moto. KUTOKA KUSHOTO wanaanga wa Apollo 1  Edward H. White II, Virgil I. "Gus" Grissom, and Roger B. Chaffee.Ajali hiyo imeelezwa kuihuzunisha sana NASA lakini baadae mwaka 1986 ajali nyingine iliyopoteza wanaanga saba ikaongeza chumvi kwenye kidonda.Credit: NASA
 
I've Got the Munchies in SpaceUkitupa kitu anga za juu huelea!! Credit: NASA
The Fate of Human Spaceflight Is in Our Hands 
Wakati wa dhifa za Kitaifa wananchi wa Marekani huonyeshwa maendeleo ya Anga za Juu KATIKA PICHA Maastronati wa NASA  Lee Morin, Alvin Drew, Kjell Lindgren, Serena Aunon, Kate Rubins, and Mike Massimino wakikisindikiza 'kidonge' ambacho hutumika kuelea katika anga za juu, hapa wanapita mbele ya jukwaa alipo Barack Obama wakati akiapishwa kwa muhula wa pili Jumanne Jan. 22,2013 The Deep Sea of Clouds Faida ya Satelaiti za anga za juu ni pamoja na kuweza kupiga picha sehemu kubwa ya dunia. KATIKA PICHA Bahari ya Pasifiki ikionekana huku ikiwa imefunikwa kwa wingu jepesi.Picha imechukuliwa Kaskazini Mashariki mwa Japani Honshu,imepigwa Jan 4,2013 
WhiteKnight Flight


Roketi hii ilikamilisha jaribio lake la 100 la kupeleka abiria anga za juu kwa  Roketi hii    ilikamilisha jaribio lake la 100 la kupeleka abiria anga za juu kwamafanikio Oktoba 4, 2012.Hivi sasa wafanyakazi wanaoijenga wanakamilisha kazi ya kuweka matenki ya mafuta.Hii itatumika kuwapeleka Watalii anga za juu.Inajengwa Marekani.Credit NASA

No comments:

Post a Comment