Thursday, January 17, 2013

KIMATAIFA:VIKOSI VYA KIJESHI VYA ECOWAS VIMEWASILI NCHINI MALI 'KUWABAFUA' WAASI






Togolese Army soldiers stand in preparation to leave for deployment to Mali, from Togo's capital Lome January 17, 2013. REUTERS/Noel Kokou Tadegnon


Togolese Army soldiers stand in preparation to leave for deployment to Mali, from Togo's capital Lome January 17, 2013. A contingent of around 100 Togolese troops, which arrived at Bamako international airport, was due to be joined shortly afterwards by Nigerian forces already en route from Kaduna airport, in the north of the oil-producing state. REUTERS-Noel Kokou Tadegnon (TOGO - Tags: MILITARY CIVIL UNREST CONFLICT)

















Vikosi hivyo vya Afrika Magharibi vinaungana na vile vya Ufaransa katika vita inayoendelea kuwakabili waasi wa Kiislamu wanaodaiwa kuwa na mafungamano ya kundi la kigaidi duniani la Al-Quaeda wanaochukua udhibiti wa eneo la Kaskazini mwa Mali

Hayo yanajiri huku Vikosi vya Jeshi la Ufaransa vikiendeleza mapambano dhidi ya ngome za waasi, huku waasi nao wakijibu mashambulizi.(ZAIDI ONA KATIKA PICHA HAPO CHINI)

VIKOSI VYA UFARANSA VILIVYOKO NCHINI MALI KUPIGANA NA WAASI











No comments:

Post a Comment