Monday, June 3, 2013

AJALI MBAYA MBEYA WATANO WAPOTEZA MAISHA MARA BAADA YA AJALI...MAJERUHI WENGI WAVUNJIKA...

Wananchi wakishuhudia miili ya marehemu waliopoteza maisha mara baada ya ajali.Ajali hiyo imetokea eneo la Darajani karibu na uwanja wa maonesho wa Nane Nane.
Daladala Hiace Toyota yenye usajili namba T 178 AAV iliyoharibiwa vibaya mara baada ya ajali hiyo.Dereva wa Hiace alikufa mda mfupi wakati akikimbizwa Hospitali. 
Gari aina ya Land Cruiser ikionekana kwa mbali ambayo imehusika katika ajali hiyo.Mashuhuda waliomwokoa Dereva wa Gari hilo wanasema alikuwa amelewa akitokea Uyole, amevunjika miguu.

Taswira nyingine ya Hiace iliyopigwa upande wa Dereva. Taarifa zinabainisha kuwa dereva wa Land Cruiser alikuwa akijaribu kulipita gari jingine huku akiwa mwendo kasi kabla ya ajali hiyo kutokea.PICHA:UNKNOWN

No comments:

Post a Comment