Wednesday, March 13, 2013

GHUBA YA ALASKA BAHARI ZINAPOKUTANA BILA MAJI KUCHANGANYIKA

Ghuba ya Alaska hapa ndipo mahali ambapo bahari mbili zinakutana lakini maji yake hayachanganyiki kama yanavyoonekana katika rangi mbili tofauti!zilizotenganishwa na povu jeupe katikati. PICHA NA:kentsmith9 

Inaweza kuwa vigumu kuamini na mtu mwingine anaweza kusema picha hii imetengenezwa katika  mashine za picha, hasha! utafiti wa wanasayansi umebaini ukweli huu baada ya kuchukua sampuli za maji ya pande zote mbili na kugundua:

Maji haya hayawezi kuchanganyika kwa sababu ya tofauti za kiwango cha chumvi iliyomo katika maji-bahari haya

 Kiwango tofauti cha chumvi katika maji haya kinasababisha maji kuwa na uzania usiofanana(density) hivyo kushindwa kuchanganyika.

 


 



No comments:

Post a Comment