Saturday, January 26, 2013

JE UNAAMINI KAMA UCHAWI UPO? ONA TASWIRA ZA NYUNGO WANAZOTUMIA WACHAWI KAMA USAFIRI

Global Publishers px,Ungo huwa na Tenki la Mafuta ambayo 'wajuvi' wanasema ni damu za watu.Kichupa hapo pembeni ndio tenki lenyewe!!
Mwanza Yetu px,Hawa mashine zilizhemsha wakiwa angani huko Mwanza 'nadhani Radiator ilishindwa kufanya kazi vizuri' nyungo zikachemsha au mafuta yaliisha

Fred Px,  Udadisi umebaini kuwa ungo wa wachawi hutumia mafuta ambayo ni damu ya binaadamu.Huu ulishindwa kusafiri huko Mtwara.Tenki la Mafuta katika ungo huu ni kubwa...huenda huu una turbo kabisa!!!


No comments:

Post a Comment