Hassan Meck (32) raia wa Sudan akimuonyesha Mpiga picha makovu aliyoyapata kutokana na mateso aliyopata kutokana na kuingia nchini Ugiriki kinyume cha sheria.Reuters |
Afisa wa Polisi akimfanyia ukaguzi Mhamiaji haramu huko Athens tarehe 05 Disemba.Reuters |
Ukaguzi wa dokyumenti unaendelea; Afisa wa Polisi akikagua uhalali wa Mhamiaji.Reuters |
Mateso wanayoyapata ni pamoja na kucharangwa miili yao kama wanyama.Picha ya Hassan Meck akionyesha makovu aliyoyapata kutokana na mateso kwa kosa la uhamiaji haramu.Reuters |
Mateso bila kificho.Reuters |
No comments:
Post a Comment