Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) na Meya wa Jiji la Dar es
Salaam, Dk. Didas Masaburi akiwasilisha maoni ya Jumuiya hiyo kuhusu
Katiba Mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba jijini Dar es Salaamjana
(Ijumaa, jan 18, 2013). Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume Jaji Mkuu
Mstaafu Augustino Ramadhani. PICHA NA TUME YA KATIBA
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) na Meya wa Jiji la Dar es
Salaam, Dk. Didas Masaburi akiwasilisha maoni ya Jumuiya hiyo kuhusu
Katiba Mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba jijini Dar es Salaam jana
(Ijumaa, jan 18, 2013). Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume Jaji Mkuu
Mstaafu Augustino Ramadhani.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Ally saleh akiongea katika mkutano
na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) uliokutana na Tume
kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya jana (Ijumaa, Jan 18, 2013)
katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kushoto)
akimsindikiza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian
Lubuva kutoka nje ya ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jana
(Ijumaa, Jan 18, 2013) ambapo NEC iliwasilisha maoni yake kuhusu Katiba
Mpya.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Harry Kitillya (mwenye tai
nyekundu) akiongea na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji
Joseph Warioba jana(Ijumaa, Jan 18, 2013) mara baada ya Mamlaka hiyo
kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Harry Kitillya (mwenye tai
nyekundu) akiongea na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji
Joseph Warioba jana (Ijumaa, Jan 18, 2013) mara baada ya Mamlaka hiyo
kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongozwa na Mwenyekiti wake Jaji
Joseph Warioba (wa sita kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na
Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliongozwa na Mwenyekiti
wa Bodiu ya TRA Bw. Bernard Mchomvu (wa nne kutoka kushoto) mara baada
ya Mamlaka hiyo kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya jijini Dar es
Salaam jana (Ijumaa, Jan 18, 2013).
No comments:
Post a Comment